Damu Yako by Ruth Matete full lyrics and Video
Song Title: Damu Yako
Author: Ruth Matete
Language: English
Damu Yako full lyrics
Kuna nguvu damu ni mwako
Kuna nguvu damu ni mwako
Kuna nguvu damu ni mwako
Yesu damu ni mwako .
Kuna nguvu damu ni mwako
Kuna nguvu damu ni mwako
Kuna nguvu damu ni mwako
Yesu damu ni mwako .
Damu yako yaponya
Damu yako yakomboa
Damu yako yatakasa
Yesu damu ni mwako .
Kuna nguvu nguvu ya ajabu
Damu ni mwa Yesu
Kuna nguvu nguvu ya ajabu
Msalabani pa Yesu .
Kuna nguvu nguvu ya ajabu
Damu ni mwa Yesu
Kuna nguvu nguvu ya ajabu
Msalabani pa Yesu .
Damu yako yaponya
Damu yako yakomboa
Damu yako yatakasa
Yesu damu-ni mwako
Yesu damuni mwako .
Translation
There is power in Your blood
There is power in Your blood
There is power in Your blood
Jesus in Your blood .